Nasemezana na Baba ni EP (Extended Playlist) iliyosheheni jumla ya Nyimbo Tano (5) zenye kukusogeza karibu na Uso wa Mungu kwa kuomba na Kumrudishia Shukrani wakati wa Shida, Furaha, Magonjwa, Dhiki na Mateso kwa yale yote Atendayo maisha mwetu.
- Release Date:March 24, 2023