Audiomack AfricaJux on Swahili Radio
Feat.Jux
New Episode, #SwahiliRadioPodcast, wiki hii yupo Juma Jux aka African Boy, kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yake! Sababu za kuachana na Girlfriend wake wa Thailand Nayika, Kudate na Huddah na Stori za Mke wa mpiga picha maarufu Lukamba and more!